
Mshambuliaji wa klabu ya Simba Sc na nahodha wa klabu hiyo John Bocco amewaahidi mashabiki wa wa klabu hiyo kuwa siku ya Jumamosi wataifunga klabu ya Js Saoura kwakuwa wamejipanga vya kutosha ingawa mchezo utakuwa mgumu sapoti na maombi ya mashabiki ni muhimu
No comments:
Post a Comment